Friday, March 11, 2016

Naibu waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi na Mbunge wa jimbo la ilemela Dkt Angeline S.L.Mabula akikagua ujenzi wa barabara.



Baada ya barabara ya Igombe kupitia Air port kufungwa kwa ujenzi wa uwanja wa kisasa wa ndenge Dkt.Angeline S.L.Mabula ameamua kufungua barabara zilizo kuwa azikumbukwi tena toka enzi za ukoloni.

0 comments:

Post a Comment