Kwa niaba ya wananchi wa Jimbo la Ilemela na wote wenye mapenzi mema, Napenda kutoa pole kwa ndugu zetu wote waliopatwa na msiba huu mkubwa kwa kuondokewa na wapendwa wao na ambao ni watoto wetu wa shule ya Lucky Vicent Pre&Primary School ya Karatu na ambao wangekuwa viongozi wa kesho
Jambo hili limetugusa wote ni jukumu letu kama watanzania kuendelea kumuomba Mwenyezi Mungu atuepushe na ajali na tuendelee kuwaombea marehemu wote pumziko la milele kwa familia zilizopatwa na msiba naomba ZABURI 125:1 iwe faraja kwao
RAHA YA MILELE UWAPE Eee BWANA NA MWANGA WA MILELE UWAANGAZIE, WAPUMZIKE KWA AMANI,. AMINA
The Best Live Dealer Casino Apps For iPhone - JTM Hub
ReplyDeleteLive Casino App Features · Play 익산 출장샵 Live 안양 출장샵 Dealer Casino Games · Live Dealer Blackjack · 거제 출장샵 Slots · Table 전라남도 출장마사지 Games 여주 출장안마 · Live Dealer Roulette · Live Casino.