Mbunge wa Ilemela na Naibu
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula anatarajiwa
kuwa mgeni rasmi ktk mahafali ya kwanza ya vijana waliopata mafunzo ya
utengenezaji viatu ktk chuo cha DIT Kampasi ya Mwanza Ilemela yatakayofanyika kesho
Jumamosi Tar 13.05.2017 Saa Nne asubuhi viwanja vya chuo cha DIT.
Wananchi
wote mnakaribishwa kuungana na Mbunge wetu ktk mahafali hii.
'
Ilemela ni yetu, Tushirikiane kuijenga '
Imetolewa
na
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Ilemela
12.05.2017
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Ilemela
12.05.2017
0 comments:
Post a Comment