Viongozi mbalimbali wa dini wakiwa
katika picha ya pamoja na Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa
Mulongo (wa pili kushoto walioshikilia bendera), katika Maombi ya
Kumuombea Rais Magufuli na Taifa yaliyofanyika jana Jijini Mwanza.
Umoja
wa Makanisa Jijini Mwanza kwa kushirikiana na Umoja wa Maaskofu kutoka
Jijini Dar es salaam jana January 13,2015 ulifanya Maombi Maalumu ya
Kumuombea Rais wa wa awamu ya tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli pamoja na Wasaidizi wake.
Maombi
hayo yalifanyika katika Uwanja wa Furahisha Manispaa ya Ilemela Mkoani
Mwanza na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwemo viongozi wa
Serikali na Dini huku pia wananchi wakijumuika pamoja na waumini wa dini
mbalimbali katika maombi hayo.
Mgeni
Rasmi katika maombi hayo alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo
ambae katika hotuba yake, aliwasihi Watanzania wote kuendelea kuliombea
Taifa ili kuondokana na vikwazo mbalimbali ambapo alidokeza kuwa kupitia
maombi, migogoro mbalimbali ikiwemo ya kisiasa kama iliyopo Zanzibar
itamalizika.
Viongozi
mbalimbali wakiwemo Mwenyekiti wa Umoja wa Makanisa Jijini Mwanza
Askofu Charles Sekelwa, Makamu wake Zenobius Issaya pamoja na Kiongozi
wa Kundi la Maaskofu kutoka Jijini Dar es salaam la Good News For all
Ministry Askofu Dr.Charles Gadi pamoja na viongozi wengine wa dini
kutoka mikoa mbalimbali nchini waliliombea Taifa na kuhimiza utuliza
nchini.
Wasaidizi
wa wa Rais Maguguli ambao ni pamoja na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu,
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa, Jaji Mkuu Mhe.Othman Chande, Spika wa
Bunge Mhe.Job Ndugai, Mawaziri pamoja na viongozi wengine wa Serikali wa
awamu ya tano waliombewa ili kuliongoza vema taifa kwa kuendana na kasi
ya Rais Magufuli.
Pamoja
na mambo mengine, pia maombi hayo yalijumuisha toba kwa taifa, kumuomba
Mungu kukomesha mauaji ya Vikongwe na watu wenye ulemavu wa ngozi
pamoja na kuombea taifa mvua zisizo na madhara.
Viongozi mbalimbali wa dini wakiwa katika
picha ya pamoja na Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo
(Wa tatu kushoto) katika Maombi ya Kumuombea Rais Magufuli na Taifa
yaliyofanyika jana Jijini Mwanza.
Viongozi mbalimbali wa dini
Maombi ya kuliombea Taifa yaliyofanyika Jijini Mwanza jana
Viongozi mbalimbali wa dini wakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza
Kulia ni Mwenyekiti Msaidizi wa Umoja wa
Makanisa Jijini Mwanza Zenobius Isaya akiwa katika Maombi ya kumuombea
Rais Magufuli, wasaidizi wake pamoja na Taifa yaliyofanyika jana Jijini
Mwanza.
Mwenyekiti Msaidizi wa Umoja wa Makanisa
Jijini Mwanza Zenobius Isaya akiwa katika Maombi ya kumuombea Rais
Magufuli, wasaidizi wake pamoja na Taifa yaliyofanyika jana Jijini
Mwanza.
Mmoja wa Viongozi wa dini akiwa
katika Maombi ya kumuombea Rais Magufuli, wasaidizi wake pamoja na Taifa
yaliyofanyika jana Jijini Mwanza.
Mwenyekiti wa Umoja wa Makanisa Jijini
Mwanza Askofu Charles Sekelwa akiwa katika Maombi ya kumuombea Rais
Magufuli, wasaidizi wake pamoja na Taifa yaliyofanyika jana Jijini
Mwanza.
Kiongozi wa Kundi la Maaskofu kutoka
Jijini Dar es salaam Askofu Dr.Charles Gadi akiwa katika Maombi ya
kumuombea Rais Magufuli, wasaidizi wake pamoja na Taifa yaliyofanyika
jana Jijini Mwanza.
Viongozi wa dini
Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza
Magesa Mulongo akizungumza katika Maombi ya kumuombea Rais Magufuli,
wasaidizi wake pamoja na Taifa yaliyofanyika jana Jijini Mwanza.
Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo akizungumza katika Maombi ya kumuombea Rais Magufuli, wasaidizi wake pamoja na Taifa yaliyofanyika jana Jijini Mwanza.
Maombi ya kumuombea Rais Magufuli, wasaidizi wake pamoja na Taifa yaliyofanyika jana Jijini Mwanza.
Maombi ya kumuombea Rais Magufuli, wasaidizi wake pamoja na Taifa yaliyofanyika jana Jijini Mwanza.
Kwaya ya EAGT Mabatini Jijini Mwanza
ikitumbuiza katika Maombi ya kumuombea Rais Magufuli, wasaidizi wake
pamoja na Taifa yaliyofanyika jana Jijini Mwanza.
Maombi ya kumuombea Rais Magufuli, wasaidizi wake pamoja na Taifa yaliyofanyika jana Jijini Mwanza.
Maombi ya kumuombea Rais Magufuli, wasaidizi wake pamoja na Taifa yaliyofanyika jana Jijini Mwanza.
Maombi ya kumuombea Rais Magufuli, wasaidizi wake pamoja na Taifa yaliyofanyika jana Jijini Mwanza.
Maombi ya kumuombea Rais Magufuli, wasaidizi wake pamoja na Taifa yaliyofanyika jana Jijini Mwanza.
0 comments:
Post a Comment