Tuesday, January 12, 2016

Mbunge wa ilemela Mama Angeline S.Mabula ameshiriki leo kwenye kuaga mwili wa marehemu Joseph Kasubi Walwa alie kuwa M/kiti wa ccm Mkoa wa mwanza








Mbunge wa ilemela mwanza na Naibu Waziri wa nyumba na makazi na maendeleo Angeline S.Mabula akiwa na waombolezaji wengine  wakiaga mwaili wa aliekuwa M/kiti wa CCM mkoa wa Mwanza Ndug.Joseph Kasubi Walwa katika kanisa la ACC Bwiru leo.

0 comments:

Post a Comment