Thursday, February 11, 2016

Abiria wanusurika kuzama baharini baada ya Pantoni kuzima ghafla Dar



Taarifa zilizo make headline muda huu ni pamoja na hii ya Pantoni kuzima ghafla Dar na kulazimika abiria wajitose baharini kuokoa maisha yao, hadi sasa haijafahamika kama kuna arhari iliyopatikana. Endelea kukaa karibu na millardayo.com ili zote zitakazonifikia iwe rahisi kukusogezea. Na hizi ni picha za mwanzo..!
3
.
IMG-20160211-WA0009
IMG-20160211-WA0012

0 comments:

Post a Comment