Naibu waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Dkt.Angeline Mabula ameanza ziara ya kikazi mkoani Mara katika jitihada za serikali kumaliza na kushughulikia matatizo ya Ardhi nchini.Dkt Angeline ameingia Mkoa wa Mara akitokea Mkoa wa Arusha.
Dkt.Angeline Mabula ameanza ziara ya kikazi mkoani Mara.
Naibu waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Dkt.Angeline Mabula ameanza ziara ya kikazi mkoani Mara katika jitihada za serikali kumaliza na kushughulikia matatizo ya Ardhi nchini.Dkt Angeline ameingia Mkoa wa Mara akitokea Mkoa wa Arusha.
0 comments:
Post a Comment