Sunday, February 14, 2016

Dkt.Angeline Mabula akisalimiana na Madiwani wa halimashauri ya Musoma




Naibu waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Mh. dkt.Angeline Mabula akisalimiana na Madiwani wa halimashauri ya Musoma alipokuwa kwenye majukumu ya kiwizara wilayani humo.Dkt Angeline amewahi kuwa DC katika halimashauri hiyo kabla haijatengwa na ile ya Butiama.

0 comments:

Post a Comment