Mh.Naibu wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Dkt. Angeline Mabula ametembelea mgodi wa CATA unao Fanya shughuli zake mjini Musoma.Mgodi huu umeanza kufanya kazi wakati Mh.Dkt. Angeline Mabula akiwa ni DC wa wilaya ya Butiama.Mgodi wa CATA unaendeshwa kwa ushirika wa Watanzania na Raia wa Canada
Dkt. Angeline Mabula ametembelea mgodi wa CATA unao Fanya shughuli zake mjini Musoma
Mh.Naibu wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Dkt. Angeline Mabula ametembelea mgodi wa CATA unao Fanya shughuli zake mjini Musoma.Mgodi huu umeanza kufanya kazi wakati Mh.Dkt. Angeline Mabula akiwa ni DC wa wilaya ya Butiama.Mgodi wa CATA unaendeshwa kwa ushirika wa Watanzania na Raia wa Canada
0 comments:
Post a Comment