Mbunge wa jimbo la Ilemela
na Naibu waziri wa Ardhi nyumba
na makazi ya maendeleo ya Ardhi Dkt.Angeline S.L.Mabula akiwapokea marafiki wa
maendeleo kutoka nchini Korea ambao wamejitolea kushirikiana nae katika
shughuli za maendeleo ya jimbo la ilemela mwanza .Wageni hawa wanaongozwa na
mshauri wa masuala ya uchumi wa Raisi wa
Korea “ushirikiano wa Ilemela na Korea hoyeeee”
Wageni hawa watawasili jimboni ilemela siku ya
jumatano,tayari kwa mazungumzo ya mashirikiano na kutembelea wananchi katika kata
na vijiji mbalimbali katika jimbo la Ilemela Mwanza.
0 comments:
Post a Comment