Saturday, April 9, 2016

NAIBU WAZIRI WA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI NA MBUNGE WA ILEMELA DK.ANGELINE S.L. MABULA ANDELEA NA ZIARA KWENYE JIMBO LA ILEMELA





Hapa Kazi Tu! NAIBU WAZIRI WA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI NA MBUNGE WA ILEMELA DK.ANGELINE S.L. MABULA LEO HII AMEFANYA ZIARA KATIKA JIMBO LAKE NA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI WAKE NA KUSITOLEA UAMUZI NA ZINGINE KUSIPELEKA KWENYE NGAZI ZINAZO HUSIKA

0 comments:

Post a Comment