KATIKA KATA YA KITANGIRI UJENZI WA MITARO NA BARABARA YA JIWE KUU UNAENDELEA VIZURI,JAPO KUNA TATIZO LA IDARA YA TANESECO NA IDARA YA MAJI MWANZA KUSHINDWA KUSOGEZA MISTIMU NA MIUNDO MBINU ZA MAJI NA KUFANYA KAZI KWA MKANDARASI KUWA NGUMU.
KATIBU WA MBUNGE COMRED KHERI D. JAMES AKIKAGUA UJENZI WA BARABARA NA UJENZI WA MITARO KATA YA KITANGIRI UVYOENDELEA
KATIKA KATA YA KITANGIRI UJENZI WA MITARO NA BARABARA YA JIWE KUU UNAENDELEA VIZURI,JAPO KUNA TATIZO LA IDARA YA TANESECO NA IDARA YA MAJI MWANZA KUSHINDWA KUSOGEZA MISTIMU NA MIUNDO MBINU ZA MAJI NA KUFANYA KAZI KWA MKANDARASI KUWA NGUMU.
0 comments:
Post a Comment