Monday, June 6, 2016

Dkt. Mbunge WA jimbo LA ilemela-mwanza na naibu waziri Wa Aridhi nyumba na maendeleo ya makazi Angeline Mabula aendelea na ziara ya Siku sita pamoja mkutano wa kujadili uboreshaji WA makazi ya watu WA kipato cha chini




Mbunge WA jimbo LA ilemela-mwanza na naibu waziri Wa Aridhi nyumba na maendeleo ya makazi Dkt.Angeline Mabula aendelea na ziara ya Siku sita pamoja mkutano wa kujadili uboreshaji WA makazi ya watu WA kipato cha chini inayo fanyika nchini Nigeria nakujumuisha mataifa ya Africa.ktk mkutano huo Tanzania imetuliwa kuwa mwenyekiti Msaidizi,na mwenyekiti mtarajiwa WA mkutano ujao utakaofanyika mwaka 2018.mh.Dkt angeline Mabula amepata heshima ya kuwa m/kiti Msaidizi WA mkutano huu kwa niaba ya TAIFA letu.mh Mbunge anatarajia kurudi nchini mapema wiki ijayo tayari kwa kuendelea na majukumu ya kibunge na yakiwizara."ilemela niyetu,tushirikiane kuijenga"

0 comments:

Post a Comment