Friday, June 10, 2016

Mbunge wetu WA Jimbo LA ilemela Dkt.Angeline Mabula pamoja na Mbunge wetu WA viti maalumu mh.Kiteto Leo wametembelewa na ugeni WA walimu na wanafunzi shule ya Montessori ilioko jimboni kwetu ilemela




Mbunge wetu WA Jimbo LA ilemela Dkt.Angeline Mabula pamoja na Mbunge wetu WA viti maalumu mh.Kiteto Leo wametembelewa na ugeni WA walimu na wanafunzi shule ya Montessori ilioko jimboni kwetu ilemela.wanafunzi na walimu hao wamepata nafasi ya kujifunza shughuli mbali mbali za bunge zinavyoendeshwa pamoja na kuona namna gani wabunge wetu wanavyotimiza majukumu yao wawapo bungeni."ilemela ni yetu,tushurikiane kuijenga"

0 comments:

Post a Comment