Sunday, February 28, 2016

(HOTUBA VIDEO) Naibu waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi akemea lugha chafu kwa watumishi (Maofisa Ardhi)

Mh.Dr.Angeline S.L.Mabula Mbunge wa jimbo la Ilemela Mwanza akemea lugha chafu za watumishi wa idara ya Ardhi "Maofisa Ardhi".hii imekuwa kero kubwa kwa wananchi na kuwa ndicho chanzo kikubwa cha migogoro ya Ardhi.

0 comments:

Post a Comment