Dr.Angeline S.L .Mabula ameanza kutekeleza ahadi zake alizo toa kipindi cha kampeni kwa kuanza na barabara iliyo kuwa imeachwa kwa kipindi kirefu.Barabara hiyo yenye urefu wa kirometa 9.74 hinayo unganisha kati mbili itasaidia kukuza uchumi wa maeneo ya isanzu na kabusungu
Mbunge wa jimbo la Ilemela Dr.Angeline S.L .Mabula akisaidiana na wakazi wa isanzu kutengeneza Barabara
Dr.Angeline S.L .Mabula ameanza kutekeleza ahadi zake alizo toa kipindi cha kampeni kwa kuanza na barabara iliyo kuwa imeachwa kwa kipindi kirefu.Barabara hiyo yenye urefu wa kirometa 9.74 hinayo unganisha kati mbili itasaidia kukuza uchumi wa maeneo ya isanzu na kabusungu
0 comments:
Post a Comment