Wednesday, February 24, 2016

Naibu wa Ardhi Dr.Angelina S.L Mabula akikagua nyumba za NHC wilaya Muleba




Dr.Angeline S.L Mabula akagua mradi wa nyumba za NHC wilaya Muleba alipotembela na kuwa sihi wa nchi kujitokeza na kununua nyumba kwa bei raisi pia aliongea na halmashauli hiyo kuzidi kutoa maeneo kwa NHC kwa ajiri ya kuendelea kujenga nyumba.

0 comments:

Post a Comment