Friday, February 26, 2016

Naibu waziri wa Ardhi nyumba maendeleo na makazi Mh Dr. Angeline S.L.Mabula akisahini kitabu cha wageni W/Misungwi









Naibu waziri wa Ardhi nyumba maendeleo na makazi na Mbunge wa wilaya ya Ilemela mwanza Mh Dr. Angeline S.L.Mabula akisahini kitabu cha wageni W/Misungwi alipotembelea wilaya ya misungwi na kukagua Mladi wa NHC pamoja na kukagua ofisi za Ardhi wilayani Misungwi

0 comments:

Post a Comment