Wednesday, February 24, 2016

Mh.Naibu wa ardhi Dr.Angeline S.L Mabula akisalimiana na wanainchi


Dr.Angeline S.L Mabula kabla ya kuondoka alipata muda wa kusalimina na wananchi walikuwa wakisubili kesi zao kusomwa katika balaza la Ardhi wilaya ya Bukoba leo.

0 comments:

Post a Comment