Juhud za Mbunge WA Jimbo LA ilemela-mwanza,na naibu waziri Wa Aridhi nyumba na maendeleo ya makazi nchini Dkt.Angeline Mabula za kuona barabara zote za jimbo la ilemela zinapitika na kuraisisha mawasiliano na kukuza uchumi zinazidi kuonekana baadaya ya barabara iliyokuwa imeribika na kushindwa kupitika vizuri
"ilemela ni yetu,tushirikiane kuijenga".
Imetolewa na Ofisi ya Mbunge.
Jimbo LA ilemela-Mwanza
|
0 comments:
Post a Comment