“MUNGU
akisema ndio kwenye jambo jema akuna litakalo shindikana”hakika kilichofanyika
jana kinaonyesha upendo wa hali ya juu kwa wana Ilemela .Harambee iliyoandaliwa
na Mbunge WA Jimbo la ilemela-mwanza,na naibu waziri Wa Aridhi
nyumba na maendeleo ya makazi nchini Dkt.Angeline Mabula kwa lengo la
kutengeneza madawati pamoja na ujenzi wa madarasa katika shule za wilya ya
Ilemela Harambee iyo
imefanyika katika ukumbi wa rock city mall na imeuzuriwa na wageni mbalimbali
Naibu waziri wa wizara ya fedha ,Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mkuu wa wilaya ya
Ilemela ,wabunge wa kanda ya ziwa pamoja na madiwani wa jimbo la ilemela-Mwanza.
"ilemela ni yetu,tushirikiane
kuijenga".
Imetolewa na Ofisi ya Mbunge
Jimbo LA ilemela-Mwanza.
0 comments:
Post a Comment