Mhe. Mbunge Wa
Jimbo La Ilemela-Mwanza na Naibu Waziri Wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo Ya Makazi
Dkt. Angeline S.L Mabula anawatakia heri Wanafunzi Wote Wa Darasa la Saba
Wanaotarajia kufanya Mitihani Yao ya Kuhitimu Elimu ya Msingi hapo Kesho
jimboni kwetu Ilemela na Maeneo yote Nchini.
Mhe. Mbunge Anachukua
nafasi hii Pia Kumpongeza Mhe. Mkuu wa Wilaya na Mkurungezi Wa Manispaa ya
Ilemela Kwa Maandalizi Mazuri ya Zoezi hilo hapa Wilayani Kwetu.
Jumla ya Wanafunzi 7533 wa Darasa la Saba watafanya
Mtihani huo ktk Wilaya Yetu ya Ilemela.
"... Ilemela
ni yetu,tushirikiane kuijenga ..."
Imetolewa Na;
Ofisi ya Mbunge Jimbo la Ilemela.
0 comments:
Post a Comment