Wednesday, January 18, 2017

NAIBU WAZIRI WA ARDHI Dkt. ANGELINE S.L. MABULA ATUMBUA WATUMISHI WATATU RUVUMA





Naibu Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, Dkt. ANGELINE S.L. MABULA, amewatumbua Maafisa ardhi Watatu wa halmashauri za wilaya mkoani Ruvuma , afisa ardhi wa Halmashauri ya SONGEA ATHUMANI CHIPAKAPAKA, Mkuu wa Idara ya ardhi wilaya ya Tunduru JAPHET MNYAGALA pamoja na Afisa Ardhi mteule wa wilaya ya Tunduru EVALIST MAPUNDA kwa makosa mbalimbali.(CHEKI VIDEO HAPO CHINI)

0 comments:

Post a Comment