Thursday, September 29, 2016

LAPF WAMUUNGA MKONO MBUNGE WA ILEMELA.











Katika Kuenzi na Kuonesha Kuguswa na Jitihada za Mhe. Mbunge wa Jimbo la Ilemela Naibu Waziri wa Adhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula  juu ya utatuzi wa  Kero za Elimu Jimboni Ilemela.

Mfuko wa Hifadhi Ya Jamii wa LAPF Umemkadhi Mhe Mbunge Mifuko 300 ya Simenti ili kukamilisha lengo la ujenzi wa Madarasa kwa niaba ya wana Ilemela Mhe Mbunge  amewashukuru LAPF kwa moyo wa kujali na kuwaahidi ushirikiano wa hali na mali ktk kusaidia harakati za Maendeleo ndani ya Jimbo  na taifa kwa ujumla.     
           
"Ilemela ni yetu,tushirikiane kuijenga".
                    
Umetolewa na
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Ilemela~Mwanza

0 comments:

Post a Comment