Kwaniaba ya wananchi wa jimbo la Ilemela na wadau wa soka wa
mkoa wa mwanza,Mh.Mbunge wa jimbo la Ilemela na Naibu waziri wa aridhi nyumba
na maendeleo ya makazi Dkt.Angeline S.L.Mabula,anawatakia kila laheri vijana
wetu wa Mbao Fc katika mchezo wao dhidi ya timu Simba Fc utakao chezwa katika
uwanja wa uhuru Jijini Dar es laam hii leo.
Mh.Mbunge anawaomba wananchi wote
tuwaombee na tuwatie moyo vijana wetu wa Mbao Fc ili waweze kufanya vyema katika
mchezo wa leo.
NB;Mbao Fc nitimu inayo tokea katika wilaya yetu ya ilemela
Mkoani
Mwanza.
"Ilemela ni yetu,tushirikiane
kuijenga".
Imetolewa
na.
Ofisi
ya
mbunge
Jimbo la ilemela-Mwanza.
0 comments:
Post a Comment