Sunday, November 20, 2016

Mh.mbunge wa jimbo la Ilemela na Naibu waziri wa Aridhi akiwahudumia chakula waombolezaji ktk msiba wa jirani yake










Mh.mbunge wa jimbo la Ilemela na Naibu waziri wa Aridhi Dkt.Angeline Mabula (wakwanza kulia)akiwahudumia chakula waombolezaji ktk msiba wa jirani yake ulio tokea mtaani kwake vijana street kata ya kirumba  hii leo.Mbali ya majukumu yake kama kiongozi mh.Dkt Angeline Mabula amekuwa ni mshiriki mzuri wa mambo ya nzengo yanayotokea ktk jamii yake.
"Kiongozi mzuri huziishi tabu na raha za watu wake wakati wote ajaaliwao"          

0 comments:

Post a Comment