Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa
Jimbo la Ilemela Mhe Dkt Angeline Mabula ameendelea na Ziara ya utatuzi
wa migogoro mbalimbali ya Ardhi nchini kwa wananchi na taasisi za Kiserikali
Mhe Dkt Mabula ametembelea JKT Itigi iliyopo wilaya ya Mbozi na
kukutana na kamati ya Ulinzi na Usalama ikiongozwa na mkuu wa wilaya hiyo ikiwa
ni hatua katika kutatua migogoro ya Ardhi kwa Taasisi za Kiserikali
' Ilemela ni Yetu, Tushirikiane kuijenga '
Imetolewa na
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Ilemela
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Ilemela
0 comments:
Post a Comment