Mbunge wa jimbo la Ilemela na naibu Waziri wa Aridhi Dkt.Angeline
S.L.Mabula ajumuika na watumishi wenzake wa wizara ya aridhi ktk zoezi la
kupaki vifaa na vitendea kazi tayari kwa safari ya kuhamia rasmi mjini
Dodoma.Hatua hii ni utekelezaji wa agizo la Mh.Rais Dkt.John Pombe Magufuri
lakuitaka serikali kuhamia makao makuu ya nchi mjini.
Wizara mbalimbali tayari zimehamia mjini humo zikiongozwa na mh.Waziri
mkuu mh.Kassim Majaliwa ambae alikuwa wakwanza kuongoza zoezi hilo.
0 comments:
Post a Comment